Jamani naomba kuuliza Kuwa ni ipi hatma yeti sisi ambao hatuja chaguliwa hata institution hata moja ila profile zina sema "PROCESSED SUCCESSFULLY.YOU HAVE BEEN
SELECTED"
Ni kweli ni wengi kwenye profile zao wamechaguliwa lkn majina kwenye vyuo husika hayapo,nadhan matatizo yatakuwa kwa chuo chenyewe,worry out,best solution for now tafuta mawasiliano na chuo ambacho tcu wamekupanga uone wanasemaje,tena iwe faster before usajiri,Pole
mimi na nyinyi ambao mmewekewa kila chuo kilichotoa majina nani hajielewi? wanaojielewa washaona majina yao mmebaki nyie WAJUAJI ambao hamwelewi mnachotakiwa kufanya. p00r kabisa