Msaada kuhusu tetenus

issahamza

New Member
Joined
Jun 22, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Jee kuishi na maambikizi ya tetenus kwa zaidi ya miaka miwili
 
Wala haujaeleweka.
Labda ueleze tatizo lako ni nini hasa, mpaka ukafikia hatua ya kuuliza hivyo.
 
Wala haujaeleweka.
Labda ueleze tatizo lako ni nini hasa, mpaka ukafikia hatua ya kuuliza hivyo.
Yaani niliumia miaka miwili iliyopita, na kidonda kilishapona naweza kuwa na virus vya TT,maana kuna dalili naziona ambazo sizielewi.
 
Hapana, labda kama uwe umeipata miezi ya hivi karibuni, sio miaka miwili nyuma.
Halafu tetanus haisababishwi na virusi, ni bakteria wale Clostridium tetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…