Msaada kuhusu Townace truck na Liteace truck

Msaada kuhusu Townace truck na Liteace truck

Avictown

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
98
Reaction score
56
Kwa wataalamu na wazoefu wa kutumia magari na kuyatengeneza anaomba msaada juu ya haya nagari. Kuna ndugu yangu anataka kuagiza gari aina ya townace truck na liteace truck, ametafuta ushauri kwa watu kama wanne hivi, mmoja kamwambia anunue yenye engine ya 2Y ndo nzuri, wawili wameshauri anunue either 2Y, 3Y au 5K na mwingine amemshauri kuwa hata akinunua yenye 7K au 5K zote ni nzuri hazina shida. Naombeni ushauri wenu wataalamu, ni wapi nimshauri aangukie?
 
Duuuuu, kumbe humu hamna watu wenye uzoefu na haya magari! Haya mafundi hawamo! Duuuuu.
 
3Y ina nguvu sana ingawa inatumia mfumo wa cabuleta na hii ndio injini iliyokuwa ikitumika kwenye Toyota Stout na kusifika kwa kuwa na nguvu pia utumiaji mzuri wa mafuta.
 
3Y ina nguvu sana ingawa inatumia mfumo wa cabuleta na hii ndio injini iliyokuwa ikitumika kwenye Toyota Stout na kusifika kwa kuwa na nguvu pia utumiaji mzuri wa mafuta.
Asante sana mkuu kwa ushauri wako mzuri. Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom