Kwa wataalamu na wazoefu wa kutumia magari na kuyatengeneza anaomba msaada juu ya haya nagari. Kuna ndugu yangu anataka kuagiza gari aina ya townace truck na liteace truck, ametafuta ushauri kwa watu kama wanne hivi, mmoja kamwambia anunue yenye engine ya 2Y ndo nzuri, wawili wameshauri anunue either 2Y, 3Y au 5K na mwingine amemshauri kuwa hata akinunua yenye 7K au 5K zote ni nzuri hazina shida. Naombeni ushauri wenu wataalamu, ni wapi nimshauri aangukie?
3Y ina nguvu sana ingawa inatumia mfumo wa cabuleta na hii ndio injini iliyokuwa ikitumika kwenye Toyota Stout na kusifika kwa kuwa na nguvu pia utumiaji mzuri wa mafuta.
3Y ina nguvu sana ingawa inatumia mfumo wa cabuleta na hii ndio injini iliyokuwa ikitumika kwenye Toyota Stout na kusifika kwa kuwa na nguvu pia utumiaji mzuri wa mafuta.