Kuna mzee aliniomba ushauri nimsaidie kununua hiace kupitia internet, ikapatikana kwa CIF 7310 USD. Nikamuangalizia kodi kupitia TRA calculator ambayo ilionyesha kuwa atatakiwa kulipa kodi ya TSHs 4,580,000. Gari imeshafika dar bandari TRA assessment inaonyesha anatakiwa kulipa milioni 11,350,000 kama kodi tu. hivi inakaaje wanaJF. Jana mzee amenipigia simu huku amechanganyikiwa hajui afanye nini...
Make: Toyota
CHASSIS NO.: RZH1241000793
TRANSMISSION: Manual ENGINE CAPACITY: 1,990 CC
FIXED NUMBER: 8 COLOR: White
WEIGHT: 2,140 KG MILEAGE: 188,898 KM
G.WEIGHT: 2,580 KG FUEL TYPE: Gasoline/Petrol
COUNTRY OF ORIGIN: Japan
DIMENSION(LxWxH): 18.721 M3 (499x169x222 cm)*
Hiace Commuter Z-RZH124B
CIF: 7341

Niltaka kusahau jambo la msingi kabisa, hiyo gari ina seat ndani au imekuja bila seats? Ina seats ngapi? Uangalifu wa hali ya juu unahitajika kwenye hivi vitu jamani, kama uzoefu bado mdogo unaongea na wazoefu kabla ya kumsaidia mtu kuagiza kitu, unaweza kuuwa mtu kwa presha mkuu!
mkuu haice zimegawanyika sehemu kuu tatu ambazo ni min bus, van na station wagon, sasa basi kama unahitaji nikupe sifa za kwa nini ziitwe hivyo sema, ila tu hiyo ya kwako ni station wagon ndio maana ina kodi kubwa sana

Mwenye hiyo gari si mimi mkuu umechanganya, aliyeagiza hiyo gari bila kujua iko kwenye kundi gani ni Fedhuli , sisi wote tulikuwa katika harakati za kumsaidia, hata hivyo naona ametoweka kimyakimya bila kusema amefikia hatua gani!!!