ruston8919
Member
- Mar 31, 2012
- 68
- 14
wadau naomba msaada wa kufahamu wapi nimpeleke mdogo wangu kwa hapa dar ili apate pindi la kufa mtu ktk masomo ya arts yote ili arudie vyema mtihan, pia kama unajua kituo kizur cha pepa na utaratibu wa kujiandikisha kurudia