MSAADA KUHUSU TWO - STEP VERIFICATION

MSAADA KUHUSU TWO - STEP VERIFICATION

DCI Comrade One

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
557
Reaction score
718
Wakuu habari za jioni!..
Nina tatizo ambalo lanisumbua kuhusu logging in ktk account yangu ya jamii forum kwa kutumia PC yapa 2 months kwa sasa..

Mwanzo niliongeza security ya account yangu kwa kutumia two step verification,ambapo nilidownload app kwa simu nikaweza kuactivate hiyo kitu..Lkn baadae nikabadili windows ktk PC yangu na zile code nimezisahau.So now siwezi kuingia ktk account yangu kwa kutumia PC..

So kwa MTU mwenye weledi wa namna ya kufanya anisaidie
 
Back
Top Bottom