aise UAUT ni United African Universty of Tz, kipya kinafunguliwa pale kigambon chin ya raman mpya ya kgamboni, kinasimamiwa na wakorea, sasa jaman nani anajua chochote kuhusu hiki chuo na anayeenda tujuane bana! Ahsanten
Hao ni baadhi ya maprofesa wakorea waanzilishi wa chuo hicho. Kwa kifupo watakuwa wanafundisha kozi nyingi tofauti tofauti, ni chuo kinachotaratiwa kuwa na mvuto wa kipekee kwani taekondo na judo zitafundishwa.
hiko ni chuo kipya kipo kigambon ukifika kibada uliza chuo cha wa korea jst ni mwendo wa dakika chache kwa pikipiki tu,mimi nilikifuatilia walisema kuwa kipo kwenye orodha ya vyuo kupitia tcu na watachukuwa wanafunzi mwaka huu wa masomo 2012/2013 lakin mi sikukiona.
nimekuta wanajenga baadhi ya majengo na mengine yakiwa yamekamilika pamoja na lab za computer