Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Sijawahi pima kisukari ila nimekuwa nikichoka Sana ninapofanya physical work na ninaweza lala muda mrefu sanaMara nyingi watu wenye tatizo la sukari ndio wenye matatizo Na dalili kama hizo. Hutokea ukinywa chai. Mazoezi ni tiba Na kuepuka vyakula vyenye sukari
Msaada doctor nataka niulize mara nyingi baada ya kupata kufungua kinywa I mean breakfast na hata chakula cha mchana nikila lazima niwe na uchovu Sana na hata kulala sijajua kuna uhusiano gani nisaidieni madaktari