ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Kamata hao nyuki wa kibisa wa kwenye mauw kama wawali kawaulie hapo kwenye mzinga harufu yao itawavutia nyuki kutok sehemu mbalimbaliHabari,
Naomba ushauri kwa kuvuta nyuki kwenye mzinga. Najifunza ufugaji nyuki na nimejenga mzinga mdogo wa kama futi2 kwa 2.
Nlishauriwa nichome nnta na nimefanya hivo wiki ya pili sasa sioni nyuki hata mmoja. Mzinga wangu nimeufunga juu ya mti. Je nifanyeje ili nyuki waje kwa wingi??
Kuna kitu kingine zaidi ya Nta?
Msaada please
Sawa ntajaribu hii njia asante. Ngoja niskie pia kwa wataalamu wengineKamata hao nyuki wa kibisa wa kwenye mauw kama wawali kawaulie hapo kwenye mzinga harufu yao itawavutia nyuki kutok sehemu mbalimbali
uku kwetu usukumani naona wanapaka mafuta ya samli kwqenye mzinga haichukui mda wanakujaHabari,
Naomba ushauri kwa kuvuta nyuki kwenye mzinga. Najifunza ufugaji nyuki na nimejenga mzinga mdogo wa kama futi2 kwa 2.
Nlishauriwa nichome nnta na nimefanya hivo wiki ya pili sasa sioni nyuki hata mmoja. Mzinga wangu nimeufunga juu ya mti. Je nifanyeje ili nyuki waje kwa wingi??
Kuna kitu kingine zaidi ya Nta?
Msaada please
Duh. Haya sawa asanteuku kwetu usukumani naona wanapaka mafuta ya samli kwqenye mzinga haichukui mda wanakuja
Muda imepita, Ila nimeona nilijibu jambo hili ili watu wengine wasije kufanya jambo hili ambalo siyo sahihi.Sawa ntajaribu hii njia asante. Ngoja niskie pia kwa wataalamu wengine