Msaada kuhusu ugonjwa wa kipindupindu (Cholera)

Msaada kuhusu ugonjwa wa kipindupindu (Cholera)

rasheedommy

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5
Reaction score
4
Habar wana JF: Wataalam wa mambo naomba msaada wenu hapa: Cholera (kipndupndu) ni ugonjwa unao sambazwa na Bacteria wajulikanao kama Vibro-Cholera ...... Tafsri ya ugonjwa huu huwapata wale watu walao vyakula vichafu, swali langu n: kwanin Madman (vichaa). Hawapati ugonjwa huu wakat wao ndio wanao ongoza kula vyakula vichafu......!!!!!! Ahsanten sana... Kwa tym yenu
 
Mkuu, miili yetu imeumbwa kwa jinsi ya ajabu sana, inajirekebisha kulingana na mfumo wa maisha ya mhusika!

Mfano, mimi na wenzangu kijijini tulikuwa tunakunywa maji machafu ya madimbwi,tope na yenye wadudu hadi unawaona kabisa lakini hatukuwahi kuugua matumbo,lakini nilipokuja mjini nikinywa maji hayajachemshwa lazma niumwe tumbo!

Hivyo vichaa nao miili yao imejirekebisha kumudu mtindo wao wa maisha!
 
Hapo ndo utajua kitu inaitwa Neema ya Mungu yaani kustahilishwa usivyostahili
 
Back
Top Bottom