rasheedommy
Member
- Feb 28, 2014
- 5
- 4
Mkuu, miili yetu imeumbwa kwa jinsi ya ajabu sana, inajirekebisha kulingana na mfumo wa maisha ya mhusika!Habar wana JF: Wataalam wa mambo naomba msaada wenu hapa: Cholera (kipndupndu) ni ugonjwa unao sambazwa na Bacteria wajulikanao kama Vibro-Cholera ...... Tafsri ya ugonjwa huu huwapata wale watu walao vyakula vichafu, swali langu n: kwanin Madman (vichaa). Hawapati ugonjwa huu wakat wao ndio wanao ongoza kula vyakula vichafu......!!!!!! Ahsanten sana... Kwa tym yenu