Msaada kuhusu uhandisi wa Meli

Msaada kuhusu uhandisi wa Meli

Azniv Protingas

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
335
Reaction score
554
Naomba kama kuna mtu ana ufahamu na uhandisi wa MELI ( marine engineer) acomment hapo, kwa faida yangu na wengine.

Vitu kama masomo yake, ajira, mshahara, ugumu wa kazi n.k. chochote unachojua kuhusu hiyo fani kitanisaidia au unaweza kuzungumzia kuhusu fani nzima ya ubaharia.

Natanguliza shukrani.
 
 
Back
Top Bottom