Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Kwann unasema zote ni sawa?zote ni sawa tu mkuu
zote ni nzuriKwann unasema zote ni sawa?
Nipo mkoa wa k'njaro mkuuupo mkoa gani?
hyo hela inatosha kabisa kujenga nyumbaNipo mkoa wa k'njaro mkuu
Hahahaha usijal mkuu. Naona tunaisoma nambaSaidia fundi nipo apa ......!!!
Mkuu unasoma MU!?Maana hii staggered semester ndefu sana
Ndio mkuu nipo hapo ......vp na ww muhusika ama ???Mkuu unasoma MU!?
Yaah.Ndio mkuu nipo hapo ......vp na ww muhusika ama ???
kwani mpaka utangaze kuwa unajenga
Mkuu mbona kafanya jambo zuri tu hapa atapata ushauri mzuri kutoka kwa watu waliofanikisha kujenga ili nae pia afanikishe.utakuwa ccm wew
hyo hela inatosha kabisa kujenga nyumba
Mwenyew nipo katika harakati za kujengaIkulu yang ndogo njoo tushauliane tupeane mawazoHabar wadau,
Napenda kupata ushauri juu ya ujenzi.je ni vitu gan na muhimu vya kuangalia ukitaka kujenga? Je kati ya tofali za kuchoma na tofali za BLOCK zipi ni bora zaidi? Nataka kujenga kanyumba flani cha kisasa ambacho ni simple, smart and sensible.
Bahati mbaya hata ramani bado sina ila nina kiasi cha fedha 25M kufanya ujenzi wote. Ushauri wenu tafadhali
Ushauri mzuri sana huuSuala la tofali gani zuri nadhani la kuchoma ni nzuri zaidi since block likikaa sana lina expire. But hapa lazima uangalie budget yako na ulipo. Kwa mfano mtu wa Kilimanjaro ukimwambia atumie tofali la kuchoma ni very expensive kwani upatikanaji wake ni washida sana huwezi fananisha na mtu wa mbeya.
So angalia budget yako na eneo ulipo ndio uchague aina ya tofali.
25m kama unakiwanja nadhani unaweza ukajenga Nyumba simple na finishing ukatumia materials za bei rahisi