Lakini mkuu ukiangalia kwenye chart ya kodi TRA baada ya kuingia details za gari husika unakuta kwenye kodi ya uchakavu gari mpya inachajiwa pesa nyingi kuliko ya zamani. Ngoja nikupe mifano mkuuKwa sababu hiyo Escudo ya 2014 ina CIF kubwa kuliko iyo ya 2009.
Kwahiyo inajikuta inakodi kubwa zaidi ata kama wametoa ile ya uchakavu.
Hio imekaa kitapeli ila wacha tuwaachie wenye mamlaka wafanye watakavyo. We hakikisha una hela tu ili ikifika bandarini itoke kabla ya week.Habari wandugu!
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age).
Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa gari ambayo ni mpya au ni miaka ya karibuni inakuwa na kodi kubwa ya uchakavu kuliko gari la zamani.
Mfano escudo ya 2009 lenye specification sawa na la mwaka 2014 kodi ya uchakavu kwa gari la 2014 ni kubwa kuliko la 2009. Naomba kufahamishwa hapa imekaaje
Mkuu hii bado haijakaa sawa. Nimeang. alia gari ya mwaka 2015, 2016, 2017 na 2018. Hizi zote ni escudo. Jinsi gari linavyokuwa jipys (current years) na kodi ya uchakavu ni kubwa. Ndio nimeshindwa kuelewa hapoHizo zote zinapigwa kodi ya uchakavu ambayo ni asilimia fulani ya bei ya gari, sasa kama la 2009 bei yake ni kubwa basi hata kama wakipunguza asilimia za uchakavu bado itakuja hela kubwa . Jaribu la kuanzia 2013 au 2014, kodi ya uchakavu ni 0.
Ndio hasa lengo lao mkuu, gari za kuagiza wataendesha wenye uwezo tu. Sie makapuku acha tuuziane ya kidongo chekundu na lumumba yale.Nimekusoma mkuu. Ni kama vile tumebanwa tusinunue magari mapya.
Jibu ni simple gari la 2014 ni latest so kodi yake ni kubwa kingine wanapiga kodi kubwa kwasababu wanahofu kua unaweza kua unafanya biashara ya magariHabari wandugu!
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age).
Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa gari ambayo ni mpya au ni miaka ya karibuni inakuwa na kodi kubwa ya uchakavu kuliko gari la zamani.
Mfano escudo ya 2009 lenye specification sawa na la mwaka 2014 kodi ya uchakavu kwa gari la 2014 ni kubwa kuliko la 2009. Naomba kufahamishwa hapa imekaaje
Kwaio hawataki mtu afanye biashara ya magari?Jibu ni simple gari la 2014 ni latest so kodi yake ni kubwa kingine wanapiga kodi kubwa kwasababu wanahofu kua unaweza kua unafanya biashara ya magari
Sent using Jamii Forums mobile app