Msaada kuhusu ulaji wa mafuta wa gari yangu

Uko nondo sana mdau
 

Nakazia namba 9 wenye subaru,Ruminion na altezza[emoji23]

Unakuta tairi kubwa gari inaelea juu juu
 
Naomba unielekeze ofisi yako nije unishauri zaidi
Si kwa nondo hii
 
Altezza ya 3sge mkuu ni sahihi kula wese lita 1 kwa km 5 au ina shida?
Is there any modification uliyofanya kwa gari yako including muffler? What is you driving behavior? Tafuta mtu mwenye mashine pima kitu kinaitwa fuel trim angalia kama ipo within spec...then check wave formation ya oxygen sensor baada ya hapo utajua shida ni nini.
 
Shukran mkuu
 
Cc 990 alafu ina 4wheel full time...unakula mafuta kama gari yenye cc 2000
 
Mimi yangu ni Swift cc660 inatakiwa kwenda km ngapi/1litre? Msaada pls. Gari ni no C, nimenunua mkononi kwa mtu
 
Baba hii gari inatumia mafuta ungetaka isitumie mafuta tafuta Baiskeli [emoji23][emoji23][emoji23] jokes
 
Ile gari ilipigwa masega mkuu
 
Nina terius kid,nikiweka 20000 natembea km 100+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…