Msaada kuhusu ulaji wa mafuta wa gari yangu

Tatizo hataki kusema hicho kibakuli Ni kipi
Hiyo itakua injini ya 1KR ambayo utaikuta kwenye passo ama vitz, ila kwa km hizo zilizompa mbona mimi sioni tatizo?
Siku akibahatika kukaa kwenye brevis likampa km 25 tu ndio atajua kua hako ka passo ni ka muhimu sana. Na akashikilie maishani mwake.
 
Hongera mkuu hapa wengi tutajifunza mengi
 
Mkuu una ujuzi wa ku interprate fuelt trims ? Ama unafahamu garage yenye ujuzi huo ?. Nimekuja kurealize garage nyingi zenye majina, wana scanners na hawajui kuzitumia. Mwisho wao ni kusoma fault codes tu. Na hizi cases za ulaji wa mafuta, mara nyingi hautaona fault code cause pcm inajiongeza kwa kuongeza ratio ya mafuta.
 
Unapatikana wapi?
 
Mi yangu lita 7 natembea km 120 highway, 220 km huwa natumia 13ltr nikiweka full tank lita 35 huws nagusa 600km
 
Wewe ni fundi, if yes ...unapatikana wapi?
 
👍
Mshauri maridadi kabisa unatakiwa ujengewe mnara wa heshima kwa uchambuzi uliotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…