Yelawolf49
Member
- Sep 20, 2017
- 73
- 65
Uko kwny category gani?mlipa Kodi mdogo(ambae anakadiriwa tu na hahitaji kupeleka returns Wala kuandaa mahesabu) au uko kwny category ya mlipa kodi mkubwa/Kati anayepeleka returns na kuandaa mahesabu)?Ukipata suluhisho uniambie ndugu. Mwaka jana sijalipa hata senti tano.
Mlipaji kodi mdogo. Makadirio ya mauzo yalikua chini ya 14M per year. Nilifunga biashara.Uko kwny category gani?mlipa Kodi mdogo(ambae anakadiriwa tu na hahitaji kupeleka returns Wala kuandaa mahesabu) au uko kwny category ya mlipa kodi mkubwa/Kati anayepeleka returns na kuandaa mahesabu)?
Na Mara ya mwisho ulikua unalipia Kodi ya sh. Ngapi kwa mwaka/kila quarter ulikua unalipia sh.ngapi?Mlipaji kodi mdogo. Makadirio ya mauzo yalikua chini ya 14M per year. Nilifunga biashara.
Kama 65,000/quarter. Biashara ilifunguliwa Jan 2021 ila kuna mambo yalitokea nikashindwa kuendelea nikawafuta kuwa nataka kufunga wakasema hadi Dec niandike barua na kulipa kodi yao.Na Mara ya mwisho ulikua unalipia Kodi ya sh. Ngapi kwa mwaka/kila quarter ulikua unalipia sh.ngapi?