ommy15
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 674
- 1,017
Habari ya mwisho wa wiki wanajamvi. Napenda kupata ufahamu kuhusu UTT au Unit Trust Fund,nimepata kuwasikia jamaa wanaofanya masoko kwenye redio na kwenye Tv hasa ITV kweli nilivutiwa sana na jinsi walivyoelezea. Hasa kitu wanachoita Umoja Fund kwamba unaweka hela then wanawekeza sehemu mbali mbali then mwisho wa mwaka unapata gawio. Tatizo au mpango wangu uko hapa nataka kufanya kazi kwa muda fulani then niresign na kuwekeza coz kuna biashara nataka kuifanya.
Swali hawajamaa faida yao ni asilimia ngapi kwa mwaka, pili nikitaka hela yangu pindi ninataka kuitumia inakuwa na mzunguko mrefu?,tatu vipi kuhusu usalama wa pesa yangu kwao.
N.B Nimepitia mtandao wao laikini hakuna taarifa za maana tofauti na wanvyoongea kwenye redio na tv FYI hili nitatizo pia kwa mashirika mengi hapa nchini.
link yao Utt home page