Msaada kuhusu urahisi wa kujiajiri au kuajiriwa mtu akisoma kati ya vitu hivi

Msaada kuhusu urahisi wa kujiajiri au kuajiriwa mtu akisoma kati ya vitu hivi

Sakoyo

Senior Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
135
Reaction score
7
Ndugu zangu naomba ushauri wenu hasa mlio kwenye field ya uhandisi, kuna ndugu yangu amemaliza form six na naona hajapata credit za kumpeleka chuo direct so ninafikiri kum-support asome kama private. Sasa naomba kusaidiwa maoni akasome kozi ipi kati ya hizi: a) Civil engineering
b) Mechanical engineering
c) Electrical engineering au
d) Computer
Nitashukuru ukishauri na kunipa uzoevu wako kidogo kwenye field unayofikiri kwa sasa na baadae italipa as nataka nimkopeshe hiyo hela ya kusomea mbele ya wazee..
 
Mi nakushauri umwambie akapige electrical engineering maisha yapo kila kona kwa wenye fani hii ai kujiajiri wala kuajiriwa. .ila hukusema advance amesomea masomo gani
 
Amepiga PCM lakini ame-end up na three 14
 
Mwache achague anachokipenda na atafanya vizuri zaidi kuliko kumchagulia.
 
Back
Top Bottom