Msaada kuhusu Usindikaji wa Matunda!

Msaada kuhusu Usindikaji wa Matunda!

maghambo619

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,537
Reaction score
1,360
Shalom!
1. Awali ya yote nahitaji kufahamu kuhusu upimaji wa kiwanja Chenye ukubwa wa 250 *150 square meters kilichopo kijijini mkoani Mara wilaya ya butiama!
2. Gharama za upimaji wa kiwanja hicho
3. Uwezekano wa kujenga kiwanda kidogo cha fruit processing.
4. Makato ya serikali
Ni hayo tu!, karibuni kwa maoni /ushauri!
 
Mkuu, hapo no. 3, ni kiwanda cha ku process matunda kivipi.? hebu nifafanulie kidogo twende sawa.
 
Back
Top Bottom