Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaam Wana JF,
Naomba msaada wa kujua dawa au namna ya kufanya kidonda kupona haraka au kukauka.Mimi nina kidonda hakionyeshi hata dalili ya kupona.Tafadhali wakuu,mwenye ufahamu wa mambo hayo naomba mnisaidie.Asante