B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
HABARI WAKUU WA JUKWA HILI...NINGEPENDA KUJUA KITU KUTOKA KWENU.kwa mfano mwanamke amefanya mapenzi siku ya kumi na tano.AKAAZA KUTUMIA vidoge vya majira familia kuazia siku hiyo..je ataanza kuona bleed yake baada ya kumaliza au?havisaidi kuzuia mimba