Msaada, kuhusu vidonge vya uzazi

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
HABARI WAKUU WA JUKWA HILI...NINGEPENDA KUJUA KITU KUTOKA KWENU.kwa mfano mwanamke amefanya mapenzi siku ya kumi na tano.AKAAZA KUTUMIA vidoge vya majira familia kuazia siku hiyo..je ataanza kuona bleed yake baada ya kumaliza au?havisaidi kuzuia mimba
 
wakuu ni kwambaa hamna mtu..mwenye mawazo au jibu
 
Mi nnavojua ivo vidonge unatakiwa uvinywe kila siku kabla ya tendo la ndoa.Iyo yako ya Ku do kwanza ndo umeze sijui kwa kweli.

Nakushauri uwe unatumia kalenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…