MSAADA KUHUSU VITAMINI C

MSAADA KUHUSU VITAMINI C

AGAPE BOY

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
194
Reaction score
159
Hope mko poa na mnaendelea na majukumu yenu vizuri,,

nahitaji msaada kidogo kuhusu vitamini C,, najua kuna baadhi ya vyakula na matunda ni chanzo kikuu cha hii vitamini C, lakini pia vitamini C inapatikana kwenye maduka ya famasia..

ninachotaka kuulizia ni bei ya hizi vitamini C dukani na ni kwa namna gani wanauza pamoja na vipimo vyake,,

mwenye uelewa na ujuzi juu ya hili tusaidiaene plzzzz
 
Back
Top Bottom