Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
Kwakweli hata mimi nazizimia sana hizi gari, hasa golf imekaa poa sanaWadau naombeni msaada
Hio ni vw polo 9N. Spare kibao,very cheap to maintain. Nunua ya 1.4 petrol. Very economical,very strong as long as you do proper service.NOmbeni kujua juu ya aina hizi za volkswagen
Volkswagen polo mwaka 2002 na volkswagen golf mwaka 2001 juu ya mambo yafuatayo
.ulaji wa mafuta(1l/km
.upatikanaji wa vipuli
.uimara kwa barabara zetu
.bei yake, je kwa 10m unapata?
Wadau ushauri wenu ni muhimu sana kwan utakuwa na msaada mkubwa kwangu
PRONDO nashukuru sana kwa mawazo yako, vp inakula 1l kwa km ngap?Hio ni vw polo 9N. Spare kibao,very cheap to maintain. Nunua ya 1.4 petrol. Very economical,very strong as long as you do proper service.
si chini ya 10km.PRONDO nashukuru sana kwa mawazo yako, vp inakula 1l kwa km ngap?
Nna uzoefu na golf 2001, Inakula km 11/Ltr, vipuli vinapatikana Dar, Arusha na sometym unaweza kuagiza kutoka south africa, Kwa barabara zetu zinahitaji umakini sana hasa unapokua rough road au rami afu ukute mtu kaacha/ katupa jiwe barabarani ni rahisi sana kupasua sample (sample zake ni aluminium), Service zake fanya kwa wataalamu hasa kwenye kubadili gearbox oil au engine oil. Kwa hiyo price unaweza kupata kwa mtu ila kuagiza kodi ipo juu labda min 13mil. Ni gari nzuri zipo comfortable, imara, speed hadi 260KPH.NOmbeni kujua juu ya aina hizi za volkswagen
Volkswagen polo mwaka 2002 na volkswagen golf mwaka 2001 juu ya mambo yafuatayo
.ulaji wa mafuta(1l/km
.upatikanaji wa vipuli
.uimara kwa barabara zetu
.bei yake, je kwa 10m unapata?
Wadau ushauri wenu ni muhimu sana kwan utakuwa na msaada mkubwa kwangu
Nasiki zinasumbua sana kwenye gearbox,nikweli mkuu?? Hii gari huwa naipenda sana,na milango yake mizito hatar,kwa upande wa sample umetisha kidogo,maana mimi mazingira nayoishi nazan haitodumu kwakweli,lkn naipenda sanaNna uzoefu na golf 2001, Inakula km 11/Ltr, vipuli vinapatikana Dar, Arusha na sometym unaweza kuagiza kutoka south africa, Kwa barabara zetu zinahitaji umakini sana hasa unapokua rough road au rami afu ukute mtu kaacha/ katupa jiwe barabarani ni rahisi sana kupasua sample (sample zake ni aluminium), Service zake fanya kwa wataalamu hasa kwenye kubadili gearbox oil au engine oil. Kwa hiyo price unaweza kupata kwa mtu ila kuagiza kodi ipo juu labda min 13mil. Ni gari nzuri zipo comfortable, imara, speed hadi 260KPH.
Gearbox haijawahi nisumbua, tatizo watu wanabadili oil tofauti na inayotakiwa. Sijawahi alibikiwa na kitu chochote serious huu mwaka wa nne toka nianze kutumia. Si gari rafiki kama unaishi maeneo yenye barabara za mawe sababu ziko chini sana ila kwenye bodi ni nzito sana huwezi kulinganisha na magari kama toyota. Kikubwa ukipasua sample itamwaga oil yote afu itakuandikia stop kwenye dashboard, usiendeeshe ukigundua umepasua sample.Nasiki zinasumbua sana kwenye gearbox,nikweli mkuu?? Hii gari huwa naipenda sana,na milango yake mizito hatar,kwa upande wa sample umetisha kidogo,maana mimi mazingira nayoishi nazan haitodumu kwakweli,lkn naipenda sana
Mkuu nashukuru sana kwa mchango wako mzurNna uzoefu na golf 2001, Inakula km 11/Ltr, vipuli vinapatikana Dar, Arusha na sometym unaweza kuagiza kutoka south africa, Kwa barabara zetu zinahitaji umakini sana hasa unapokua rough road au rami afu ukute mtu kaacha/ katupa jiwe barabarani ni rahisi sana kupasua sample (sample zake ni aluminium), Service zake fanya kwa wataalamu hasa kwenye kubadili gearbox oil au engine oil. Kwa hiyo price unaweza kupata kwa mtu ila kuagiza kodi ipo juu labda min 13mil. Ni gari nzuri zipo comfortable, imara, speed hadi 260KPH.
Aksante mkuuChuku Golf MK 4 - kitu cha 1.8L au 2.0L, AU GTI manual. Spea kibao mafundi kibao. Mimi nina 1.8. Changamoto ni sampo kuwa chini ila sikuizi mafundi wanakuchongea kava la chuma inavalishwa chini kuziba sampo.