fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
habari za Siku wakuu kama heading inavyosema hapo juu naomba kujuzwa kuhusu ndugu zetu/watanzania wenzetu wanaolinda mila na tamaduni zao afrika ya mashariki (masai) hivi huwa wanavaaga ch#pi kama ilivyokua kwa wanawake wa makabila mengne au nao wapo kama waume /wanaume zao? maana tumebishana sana kitaa mpaka wengine wakataka kwenda kufanya juu chini ili wakawachungulie wale wadada wa kimasai wanaouza dawa zao za asili
kwa waliokaa na wamasai naomba wanijuze kidogo
#yunGt3mp3R
kwa waliokaa na wamasai naomba wanijuze kidogo
#yunGt3mp3R