Msaada kuhusu wish na allex

mutyama

Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
54
Reaction score
38
Wakuuu naombeni kujua ipi gari imara kati ya toyota wish na allex
 
allex ni durable ila space ndogo, wish ndefu sana hadi inaboa, ila kama ww kanjibai nunua wish
 
naomba kuuliza wakuu kati ya premio na Allex au runx mwenye kufahamu ipi gari bora kumiliki
 
Asante mkuu, kwa ufahamu Mimi nikwamatumizi ya kawaida tu maana mwanzo niliamua kuchagua wish sasa nimeambiwa sio imara mpaka sasa Sijui ukweli ni upi kuhusu wish
 
Asante mkuu, kwa ufahamu Mimi nikwamatumizi ya kawaida tu maana mwanzo niliamua kuchagua wish sasa nimeambiwa sio imara mpaka sasa Sijui ukweli ni upi kuhusu wish
Chukua alle ndomimara wish body laini japo ina space kubwa zaidi
 
Wish ndefu utafikiri chatu bhana, chukua allex au yule pacha wake RunX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…