HESHIMA MBELE WAKUU!
Jamani naomba kujuzwa,
hivi hii wizara ya Mifugo inatoa lini NAFASI ZA MASOMO kwa mwaka wa masomo 2012/2013 ?
maana naangalia kwenye website yao hata sio kama kuna Tangazo
AU
kama wameishatoa Nafasi hzo ntawezaje kupata form yao?