Msaada kuhusu World remit tafadhari.

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Kulingana na ushauri WA wadau niliamua kumwambia Client anitumie pesa kwa njia tajwa hapo juu, sasa mdau ndo anaendelea na process za kutuma pesa, kakutana na maneno haya, Payout network na Mobile account, nini maana yake?
 
Hapo achague mobile account/mobile money akijichanganya tuu itakuja vocha!!!
 
Asante mkuu! Hiyo airtime wangeitoa sa mtu akituma Ma euro yakawa vocha si balaa!
 
Aisee ndo hivyo watu wengi wameliwa kwa mtindo huo!! Ni kuwa makini mno
Sure! Hata hivyo nimefanikiwa mkuu, hii Ni njia bora Mara 100 kuliko western union
 
Yeah ni very cheap... Mi natumia sana hiyo... WU watafulia sana na complications zao.
 
Ni Kweli mkuu mimi mwenyewe nimewakubari World remit halafu haiko complicated ndani ya dakika 10 ushatuma pesa, na ndani ya saa 1 pesa imeshafika, nimewachukia sana Western Union, nadhani Wanapotezwa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…