neno1 Senior Member Joined Oct 9, 2013 Posts 196 Reaction score 141 Aug 23, 2014 #1 Naomba kwa walio na uelewa wa XMASTER 3G wanifahamishe kuhusu upatikanaji na gharama zake hapa nchini na ufanisi wake katika suala zima la kushika Chanel za DSTV
Naomba kwa walio na uelewa wa XMASTER 3G wanifahamishe kuhusu upatikanaji na gharama zake hapa nchini na ufanisi wake katika suala zima la kushika Chanel za DSTV
M Msingi_Mbio JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 336 Reaction score 44 Aug 23, 2014 #2 Ndo nini ? Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums