Msaada: Kuibiwa kwa mita za LUKU na kadi zake

Msaada: Kuibiwa kwa mita za LUKU na kadi zake

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
Nimeibiwa mita za LUKU na kadi zake na nina uhakika zinatumika somewhere. Nitafanyaje kupata namba na mahali zinakotumika kwa sasa?
 
Wabongo wizi imeshakua ndio utamaduni wetu, ili jamii yetu ikuone mjanja lazima uwe mwizi au tapeli.
Ukiwa muadilifu kwenye nafasi uliyonayo watu wanakuona ni mjinga.
 
Back
Top Bottom