KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Mita ya LUKU ni mali ya Tanesco. Wajulishe.Nimeibiwa mita za LUKU na kadi zake na nina uhakika zinatumika somewhere. Nitafanyaje kupata namba na mahali zinakotumika kwa sasa?
thanxWasiliana na polisi....
Nenda Tanesco wataizima, akiwafata wanamdaka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app