Hapo ni msosi tu ukishiba tu bia zitakuwa zinashuka zenyewe, kabla hujanywa hakikisha umeshiba.
Ukiamka asubuhi piga mitori bakuli 2 alafu kamata bia 3 za baridi, then pumnzika kidogo agiza supu sasa.
Nakuhakikishia hang over hutaisikia.
Mbona hatukaribishani mpwa utamaliza peke yako makreti hayo?
Hahahaha! mpwa we utakaribishwa kwa kustukiza.
Ebwanae, hivi unajua sina hobi ya kupata misosi? Mi kazi yangu ni kunywa tu. chakula wanakula kina mama na watoto.
hahahahaaa!!! mambo ya miwali na miubwabwa na mitambi wanakula wakina matesha na jane sio???Hahahaha! mpwa we utakaribishwa kwa kustukiza.
Ebwanae, hivi unajua sina hobi ya kupata misosi? Mi kazi yangu ni kunywa tu. chakula wanakula kina mama na watoto.
Dah hiyo ni bonge la weekend Kaka ukishakunywa hizo bia zote kumbuka kuweka valuu kidogo then your Monday will be mwaaa! ni ushauri tu nothing personal.
Ushauru mzuri tatizo ni kuwa, je ntakumbuka? mi nikishayamimina maji ya kutosha akili yangu inahamia kitandanikunywa maji mengi kabla ya kwenda kitandani,zaidi ya lita moja na nusu hivi!na ikitokea umeshtuka usiku piga glass ya maji!hapo utaamka fresh kabisa.
Hahahaha! Kamanda ahsante kwa ushauri murua. Ntaufanyia kazi. Vipi tuk tuk ina wese la kutosha?Ukitaka ufaidi hizo shuhuri hakikisha mapilau na mawali hugusi wewe unacheza na minyama nyama na vitu laini kuweka tumbo safi.
Hahahaha! Dah! kamanda inaelekea yu a veri eksipiriensd kuyakabili mahangover. Bado unapiga mzigo TBL?hahahahaaa!!! mambo ya miwali na miubwabwa na mitambi wanakula wakina matesha na jane sio???
Fanya hivi, hakikisha unakula supu/kisusio cha maana au mtori asubuhi sana, na unapiga kama bia tatu au nne za baridi mapemaaaa! then rudi home na ujifanye unaangalia tv, lazima usinzie. sasa ukiamaka hapo.......unakuwa pampula balaa....na morning uko poa kabisa.
Hii haina cha kadi E-w, Just PM me and you will be invited instantly!hujatupa kadi unaomba msaada...acha uchoyo Chrispin
Sasa yakitokea yale ya Infidelity ya mamaa la Carmel utamlaumu nani?mi nitakuwepo kwenye hiyo harusi, nitahakikisha unakunywa pombe mpaka j2 ushindwe kutembea utauguza uchovu j2 yote. j3 utakua fresh
Hili ni neno la busara sana. Ubarikiwe mtumishi wa Bwana. Ila nikifukuzwa kazi kina matesha nukuletea uwalee.hapo hata kazi ukifukuzwa ni shauri yako,we kunywa tu lakini angalia usipoteze ugali wako kwaajili ya kuendekeza kilevi,hiyo jumapili chapa udirinki lakini hakikisha hunywi mpaka saa kumi asubuhi,nna uhakika ukinywa mpaka saa sita usiku sio mbaya kesho unaamka poa kabisa bila hang over wala nini hakikisha umepiga supu kabla ya kulala na mtori ukiamka.
sasa mkuu, ukipiga tuskeri na wadada watakunywa nn? we piga safari bana!! inarudisha heshima ati!!Kaka kazi unayo ila 'vitu vizuri kula na nduguyo' tualikane mkulu, mi nakushauri licha ya kula vizuri hasa kamdudu ka kurosti pia unywe tusker baridiiiiii,siipigii debe ila yalishanitokea mafuriko kama hayo nilikunywa jumla ya tusker kama kreti 2 kuanzia jmosi hadi j2 saa 7 hivi ila kumbuka maji kama lita 1 kila baada ya bia 7 ni muhimu.Starehe njema rafiki.
Kaka kazi unayo ila 'vitu vizuri kula na nduguyo' tualikane mkulu, mi nakushauri licha ya kula vizuri hasa kamdudu ka kurosti pia unywe tusker baridiiiiii,siipigii debe ila yalishanitokea mafuriko kama hayo nilikunywa jumla ya tusker kama kreti 2 kuanzia jmosi hadi j2 saa 7 hivi ila kumbuka maji kama lita 1 kila baada ya bia 7 ni muhimu.Starehe njema rafiki.
Dawa ni supu tu! na mtu asikudanganye, Amka jmosi ashubuhi, Gonga supu na pc mbili ya kongoro, kama kuna ndizi chemsho pia itakuwa shangwe zaidi, gonga kama 2pcs. Ikifika mchana kachome nyama nusu kwa ugali then kaoge upumzike angalau 3hrs. Ukitoka hapo kakamate tena supu kama kawa halafu after 1hr anza kukata maji mwana mpaka saa saba nane usiku si mbaya. Kesho yake asubuhi follow the same procedure then moday you will be fine!
Note: usije ukala wali, tambi, wala ubwabwa maana utaubuka and Dont drink and drive.
Mm mwenyewe nimepiga marufuku kupikwa kwa vyakula vya aina hiyo niliyotaja hapo juu nyumbani kwangu siku za shangwe!!!!! (weekend and holidayz).
Good Weekend!😛ainkiller:
weweee......koma kabisa, watu tusififanye tuyapendayo kwa raha zetu!!What hapo kwenye red you people are overdoing jamani nikwamba the next day kiwanda kitakuwa kimefungwa au?