sasa mkuu, ukipiga tuskeri na wadada watakunywa nn? we piga safari bana!! inarudisha heshima ati!!
usiombe yakukute mkuu,maana jumanne nimeenda mdogo kama piriton,hasa pale bosi aliposema alichukua simu ili aongee namimi kesho niwahi job kuna kazi muhimu,nikamwambia achana na mimi bana,ilibidi niwe mpole kweli hiyo wiki maana jamaa alikua na hasira kweli,alinionea kichizi wiki hiyo maana kila akisema kitu ikawa ni "yes boss",yes boss".Hahahaha! dah kiongozi hiyo ilikuwa kali! si ndo maana naomba maushauri yenu mazee? kibarua kizuri na bia tamu. Hell! I can't say no to BEER!
ngoja niwahi home nikamtoe mshiki leo na kesho mchana ili kuanzia jioni TUSITAFUTANE.............
si unajua mambo ya INFIDELITY?
Hahahahaha!ndugu yangu, njia yake hiyo ni kuchapa supu ya kongoro three hours kabla ya valeur, na ikifika one hour kabla choma nyama ya ng'ombe au kitimoto na ndizi... washa pombe utakavyo na wanasema "nduru" japo kamooooja tu!!! hupunguza mning'inio wa ziada
ikiwa bado utaamka na hangover, call sick, chapa lapa hadi bar, anza upya, pombe ikichanganya basi changanya kongoro hadi hom, lala!!!
jay four itakua murua il
' hali!!!
KARIBU LEO TUPATE JUISI YA MOLASESS INDOOR PUB...
Nna imani tangu kipindi hicho hujapandishwa cheo wala kuongezwa mshahara ili liwe fundisho kwako na kwa wengine wenye tabia kama yako!!!usiombe yakukute mkuu,maana jumanne nimeenda mdogo kama piriton,hasa pale bosi aliposema alichukua simu ili aongee namimi kesho niwahi job kuna kazi muhimu,nikamwambia achana na mimi bana,ilibidi niwe mpole kweli hiyo wiki maana jamaa alikua na hasira kweli,alinionea kichizi wiki hiyo maana kila akisema kitu ikawa ni "yes boss",yes boss".
Baba Eno; Carmel anajua sana kuwa INFIDELITY IS THERE TO STAY! Basi tu...........Mkuu, ile thread ya carmel haujaipitia? Akiona hili bandiko anaweza kujinyonga!
Hakyanani wewe umenipa ushauri mzuri kuliko wote.Chrispin kila kukicha huishi vituko wewe .....
Heinken tingisha kama imeisha lete nyingine dawa ya moto ni fire ...
We nenda na bia ya kuzimua ofisini hiyo Jtatu
HEHEHEHE!Mkuu, ile thread ya carmel haujaipitia? Akiona hili bandiko anaweza kujinyonga!
Kabla mbavu zangu hazijesha jamani..
infedility theory pamoja na equations zake
enhe Chrispo anasema it is there to stay...
geoff anasema anacheza na theory tu kwa sasa
carmel upo?
back to the topic,
hommie, ukirudi usiku home do ze nidiful, pombe yote itakwisha tu kama utadumisha mila kama kawaida! Jumatatu unaamka uko mwepesiiiii
Ni hivi:
Jumamosi hii mdogo wangu atakuwa anaoa. Harusi itakuwa na bia za kutosha.
Jumapili mpwa wangu anapata komunyo ya kwanza. Kutakuwa na bia za kufa mtu.
Jumatatu ni mwisho wa mwezi, maripoti kibao.
Kuna mtu yeyote anajua dawa ya kuikabili HANGOVER ili jumatatu nisihatarishe uhai wa kibarua changu? ANGALIZO: Dawa hiyo isihusiane na kuacha kunywa bia siku hizo mbili wala vidonge vitakavyonilazimisha nisinywe bia jumatatu jioni baada ya kazi ngumu.
Wakati nikiwaombeni mniombee jumatatu inikute mzima, :glasses-nerdy:Mimi nawatakieni wikiendi njema.
Nimezingatia itifaki hapo hommie. Ila sometimes ulabu ukizidi mila huwa haikumbukwi. Itakuwaje hapo hommie?
Hakyanani wewe umenipa ushauri mzuri kuliko wote.
Tatizo kale kaharufu ka ngano ntakatoaje?
mkuu mpaka leo hata niumwe kweli jamaa haniamini kabisa.Nna imani tangu kipindi hicho hujapandishwa cheo wala kuongezwa mshahara ili liwe fundisho kwako na kwa wengine wenye tabia kama yako!!!
Mpwa ungenialika ningekuwa nakupetpet pembeni! ila kina Matesha tungehakikisha tunawapiga bia za kutosha wanalewa kwanza then sie harusi ikiisha tunaelekea viwanja vingine vya maraha!! nakuhakikishia hutapanta ng'o hangover! Mlevi unatikiwa bia moja unachezesha chezesha mwili si unakunya hata mazoezi kidogo hupati...Ok mpwa kila la heri ila angalia jumapili uwe tu mtu wa kunywa club soda ya safari!!
Mpwa ungenialika ningekuwa nakupetpet pembeni! ila kina Matesha tungehakikisha tunawapiga bia za kutosha wanalewa kwanza then sie harusi ikiisha tunaelekea viwanja vingine vya maraha!! nakuhakikishia hutapanta ng'o hangover! Mlevi unatikiwa bia moja unachezesha chezesha mwili si unakunya hata mazoezi kidogo hupati...Ok mpwa kila la heri ila angalia jumapili uwe tu mtu wa kunywa club soda ya safari!!
Hahahaha! Hatimaye mgambo wangu ameingia!!! Nyie watu tafadhali chungeni vidole vyenu msiniharibie mambo hapa. Mchumba ulikuwa wapi na haka kamvua? LOL!Mimi ndio dawa yako.Nitahakikisha hivyo virusi vya hengiova havikupati.
Taratibu mamaa, hebu twende PM kwanza.Mpwa ungenialika ningekuwa nakupetpet pembeni! ila kina Matesha tungehakikisha tunawapiga bia za kutosha wanalewa kwanza then sie harusi ikiisha tunaelekea viwanja vingine vya maraha!! nakuhakikishia hutapanta ng'o hangover! Mlevi unatikiwa bia moja unachezesha chezesha mwili si unakunya hata mazoezi kidogo hupati...Ok mpwa kila la heri ila angalia jumapili uwe tu mtu wa kunywa club soda ya safari!!
Kwa kweli hili li thread la Carmel linahitaji kudeletewa. Ngoja nicheki na invizibo. Haiwezekani aidhalilishe mila ya kiafrika namna hii.funga kamba mkono wa kushoto au kajani kadogo,, kisha ukiakribia home uwe unaimba 'mila na idumishwe na watu wote', apo ukiingia ndnai full mzuka tu (ila ujitahidi usikumbuke sredi ya carmel)
Hahahahaha!
Kiongozi hapa umenivunja mbavu vibaya. Hii kitu Juice ya Molasses ndio kitu gani tena yailah toba? Dah! Hii biashara ya kuishi vijijini inatupotezea vingi sana.