Mbona kama una Downgrade version?Nimekwama wadau,kama kichwa cha jabari kinavyoeleza,lengo langu ni kuweka windows 11 version 23H2,nimefuata taratibu zote za jinsi ya kuinstall windows 11 kwenye laptop yangu ya Microsoft Surface lakini kila nikifika hatua ya mwisho inarudia window iliopo ambayo ni 11 version 24H2...
Mara nyingi ku downgrade inabidi ufanye clean installation, format kwanza existing windows then ndio uweke windows ya zamani. So kama una mambo muhimu itabidi ufanye backup.Ndio,kuna apps zinakataa kufanya kazi kwenye hiyo version ndio maana nataka niichomoe...