Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,728
kama wewe ni mwanafunzi andika unaenda kusoma, kama husomi andika biashara halafu rudi hapa upate maelekezo.Habari zenu wakuu ?
Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ?
Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
View attachment 2914802
Kuna baadhi ya kazi ukitaka kuomba sharti uwe na pasi ya kusafiria mkuu..Yaani huna lengo la kusafiri halafu unataka uwe na pasi ya kusafiria!!?
Nashukuru kwa msaada wako mkuu.Ni lazima uwe na safari ndio ufuatilie passport. Ila kama unaitaka na hauna safari unaweza kuipata kwa ujanja ujanja. Tofauti na ujanja ujanja ni lazima uwe na safari.
Shukrani.kama wewe ni mwanafunzi andika unaenda kusoma, kama husomi andika biashara halafu rudi hapa upate maelekezo.
Ukifuata njia sahihi unakuwa ni mbahili ?Acha ubahili wape watu kitu kidogo urahisishe maisha.
Watanzania tuna shida saana.Acha ubahili wape watu kitu kidogo urahisishe maisha.
Sio lazima uwe na safari mkuu passport ni haki ya Kila mtuNi lazima uwe na safari ndio ufuatilie passport. Ila kama unaitaka na hauna safari unaweza kuipata kwa ujanja ujanja. Tofauti na ujanja ujanja ni lazima uwe na safari.
Asante mkuu.Dhumuni la safari -kikazi
Nchi unayokwenda-Tanzania
Hapo inakubali bila shida kabisa
Hivi unaona ni sawa siku umepata safari ndipo uanze kuzima moto ?Passport sio pambo kama huna safari subiri ukipata safari ndio ufuatilie mbona ni siku 3 tu za kazi.
Ni kweli kuna sehemu wameminya baadho ya options.Fomu zilivyotengenezwa ni lazima ujaze sababu ya safari yako kwenye mfumo. Aliyetengeneza mfumo alitakiwa kuweka options zaidi ya mwanafunzi, mfanyabiashara au mtumishi wa Serikali... Mfano mtanzania anawaza kwenda nje ya nchi kutalii pia.
Hapo kwenye sababu ya safari jaza Biashara, fomu ikishakamilika na kupokelewa bado kuna hatua ya mahojiano ya ana kwa ana, hapo ndipo unapothibitisha kuwa una uwezo wa kifedha si kumiliki passport tu bali unaweza kumudu gharama zote za safari kama itatokea.
Lakini, kuna sababu gani ya kumiliki passport kama huna mpango wa kusafiri? Kama mpango upo basi anza na nchi zinazotuzunguka ....itakuwa rahisi zaidi.
Kila lenye kheri kwako!.
Andika tuu matembezi halafu kwenye nchi utachagua za afrika mashariki mfano KenyaHabari zenu wakuu ?
Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ?
Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
View attachment 2914802