Msaada: Kujichua kunanitesa

hiyo roho ng'ang'anizi sii mchezo, mpk ikulegeze hio jogoo ndo uone madhara yake,na ukishaanza kuona madhara unatamani uache,kuacha inakuwa ngumu sana,utaacha kwa wiki ,,mwezi umejutahidi...ukitizama tuu porn,unajikuta ushaingia mchezoni.
yaani haina tofauti na wavuta sigara,na wanywaji wa pombe wanavyopata shida kuacha.
.
Nakuonea sana huruma yashawai kunikumba zamani ila wee umezidi,bao 6???
nilihanga1ka sana kuacha ,,,finaly niliweza mpk sasa sitamani,ushetani kama, huo maana nilisha gundua kuwa ni Roho kamili ya kishetani,iki kung'ang'ania,kuchomoka basi unatumia muda mrefuu saaana.
Mungu akusaidie.
Pole sana mdogo wangu.
Fuata shauri hapo juu.
 
Shukrani sana wadau nimeamua kubadilisha mfumo wa maisha na kufuata ushauri mlionipa.
 
Mmmmh ww umeziidisha yan mara sita kwa siku, aaah wenzako tunashtuaga mara 1 kwa mwez tukibanwa xana sasa ww too much
 

Asante sana sana mkuu kwa ushauri wako mzuri ndo naufanyia kazi yote uliyoniambia shukrani.
 
Asante sana sana mkuu kwa ushauri wako mzuri ndo naufanyia kazi yote uliyoniambia shukrani.

Kaka Pole Na Hili Janga Kwanza Naomb Ufaham Kuwa Hili Ni Pepo Kabisa La Ngon Ambal Usip Jikan Litakutesa Nakupa Mfan Hai Mim Ilinitesa Sana Enz Izo Hat Zle Karat Kuon Za Mwnamk Kavaa Bkn Nilikuw Nafanya Usku Hat Nkipta Kwny Bar Wanapga Mizik Ya Kukat Maun Nilikuwa Najbnza Sehmu Nafany Huo Ushatan Kaka Niliamua Kubadilika Kabsa Mi Nlifanya Yafuatyo
Asubuh Nilikuwa Nakimbia Km 5 Kwnda Na Kurud Had Nkazoea Then Nikaamua Kujifunza Basketball Yan Hap Nilikuwa Adctd Nikawa N Mtu Wa Michez Mwl Ulijengeka Jion Nkawa Napga Jimu Za Mtaan Sikuwa Na Mda Wa Kuwaz Ujng Yan Nikaw Mpka Kwnye Ndot Ndo Nakuta Nime,,,, Badae Nkapat Mpenz Kwny Michez Na Nkamweka Waz Kuwa Hlo Tatzo Lilikuw Lnanisumbua Ndgu Saiv Huwez Amin Nko Fit Idar Zot Na Najifurahia Mwenyew Ikatae Hyo Hal Hata Kwa Maombi ,tambua Kwa Ulip Fikia MADHARA YATAKUWA MAKUBWA KULIK HKO K STAREH CHA DAKIK KADHAA
 
mara sita kwa siku noma iyo...mi mara moja kwa wiki
 
Napenda style yako ya uandishi. Safi sana!
 
dUH jJanga Kitaifa Chapua Pole sana Mkuu acha hiyo mambo kacheza hata gemu itakusaidia kuacha hiyo mambo
 

Shukrani sana sana mkuu nipo kwenye mazoezi pia na kula vizuri siwezi rudia licha ya kuwa nilikuwa nasema siwezi rudia lakini najikuta nimefanya lkn now hapana nipo busy na mazoezi na game mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…