N ntahagaye Member Joined Feb 28, 2013 Posts 92 Reaction score 19 Apr 8, 2013 #1 Matokeo yangu form six nina division three ambayo alama zake ni hizi history D,kiswahili S,English F,divinity D,pia nina diploma ya ualimu ambayo matokeo yake ni 2.4 pass,je kwa alama hizo ntaweza kupata nafasi ya chuo na mpaka sasa nimeomba SAUT
Matokeo yangu form six nina division three ambayo alama zake ni hizi history D,kiswahili S,English F,divinity D,pia nina diploma ya ualimu ambayo matokeo yake ni 2.4 pass,je kwa alama hizo ntaweza kupata nafasi ya chuo na mpaka sasa nimeomba SAUT