Kwa hiyo application za mikopo wanapeleka na matokeo gani ya diploma? Ikiwa vyuo vingine matokeo hayajatoka na hata yakitoka wapo watakaopata supplementary?
Navyojua mimi inabidi ulaze mwaka yaani uingie 2015. Mana sidhani kama transcript umepata. Hata loan board utaombaje wakati transcript huna? Wanafanya hvyo ktokana systems za vyuo kwa waliosoma diploma kwa kuwa wapo wengine watafanya supplementary exams, kwa hyo kuepusha yote ndo mana wakaandika 2010/13. Pole mkaka.

duh kazi ipo mbona nimeona wanafunzi wengi walio maliza diploma mwaka huu wanafanya application za mkopo?....