Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanzia na basic technician certificate course (NTA 4) ambayo ni mwaka mmoja.na sifa ni kuanzia D Nne na kuendelea Pale kidogo wapo makini tofauti na chuo kama cbe kama utakuwa huna kuanzia hizo D nne nenda kwanza pale cbe unaweza kukubaliwa kwani kuna vijana wengi ninao wafahamu walikuwa hawana vigezo vya kujiunga hapo tia ila walipoenda cbe waliruhusuwa ila ni kwa hao waliomaliza form 4, huko kwingine sina ushahidi.Naombeni msada wa kueleweshwa crite
ria zkiwemo na passmark za kujiunga na T I A kw waliomaliza form 4