Unaanzia na basic technician certificate course (NTA 4) ambayo ni mwaka mmoja.na sifa ni kuanzia D Nne na kuendelea Pale kidogo wapo makini tofauti na chuo kama cbe kama utakuwa huna kuanzia hizo D nne nenda kwanza pale cbe unaweza kukubaliwa kwani kuna vijana wengi ninao wafahamu walikuwa hawana vigezo vya kujiunga hapo tia ila walipoenda cbe waliruhusuwa ila ni kwa hao waliomaliza form 4, huko kwingine sina ushahidi.