Msaada kujua gharama za earphones ambaye hasikii aweze kusikia

Simple F

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
1,293
Reaction score
1,767
Mada tajwa Baba yangu ana tatizo la kutosikia lililomtokea ghafla mwaka 1996 nakupata matibabu hadi kuishia Bugando kutokana na kipato chake kidogo hakufanikiwa kupona na Madaktari walimruhusu arudi nyumbani ingawa ana uwezo wa kukutazama mdomoni kuelewa nini unasema kwa shida sana hivyo wataalamu naomba mnisaidie kujua gharama za matibabu zinazoweza kumtibu hasa kwa kutumia earphones arudishe uwezo wa kusikia ili nijipange nimfanyiea matibabu hayo mzazi wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…