brian360 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 224 Reaction score 32 Aug 30, 2012 #1 Baada selection ya hiki chuo kutoka wakatoa Maelekezo kwamba join instructions zitapatikana kwenye website yao lakini mpaka sasa hatujaweza pata kuziona. Wana jamvi msaada kwenu kwa mwenye kujua jambo hili au ile campus ya Dar inaweza kuwa nazo?
Baada selection ya hiki chuo kutoka wakatoa Maelekezo kwamba join instructions zitapatikana kwenye website yao lakini mpaka sasa hatujaweza pata kuziona. Wana jamvi msaada kwenu kwa mwenye kujua jambo hili au ile campus ya Dar inaweza kuwa nazo?
brian360 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 224 Reaction score 32 Aug 31, 2012 Thread starter #2 wana jammvi msaidieni kijana huyu