Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Feb 4, 2017 #1 Wadau naomba kujua kama kuna kampuni za kimataifa zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu! Benki zetu zimekuwa za kinyonyaji kutokana na riba kubwa. Kama zipo naomba kupatiwa ushuhuda wa hayo!
Wadau naomba kujua kama kuna kampuni za kimataifa zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu! Benki zetu zimekuwa za kinyonyaji kutokana na riba kubwa. Kama zipo naomba kupatiwa ushuhuda wa hayo!