Msaada: Kujua kampuni zinazokopesha magari

stricker

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Habari wana JF,

Mimi ni mwajiriwa katika airline moja hapa Tz, naomba msaada wa kuzifahamu kampuni zitakazo weza kunipatia gari wabaki na original card ya gari then tuingie mkataba wa kuwalipa kila mwezi kiasi tutakacho kubaliana mpaka nimalize kiasi kilicho baki nina milioni tano kama kianzio.
 
Mi naona kula kutokana na urefu wa kamba yako.
 

Hio million 5 ukitulia unapata 'usafiri' mzuri tu wala huna haja ya kuingia madeni, au unataka gari ya kutangaza jina?!
 

Milion tano nying sana hata unaweza kuagiza gar nje mbona...ili uwe na uhakika ongeza m moja ingia jaman Trade car view tafuta gar....!
 
nunua vitz. pia uzi umetupia kwenye jukwaa lisilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…