Msaada! Kujua majibu haya.

Msaada! Kujua majibu haya.

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
IMG_20171023_224509.jpg Za usiku wandug mim mwenzen Leo nimeenda zahanati kutkna na kuharisha sana Jana, sasa ktk kupima malaria, mkojo, na choo, majibu
Nimeambiwa Nina UTI na malaria ila kias au kiwango gan hapana na hiyo kujua tu ninachoumwa, mpk nimemuuliza Dr baada ya kuona anatiririka kuandik orodha ya dawa bila maelezo
Anyway nisiwachoshe sana ndo zahanat zetu, msaada tu wa kusomewa majibu hasa hapo kwenye malaria ni ngap? Asanten
 
PAMAGE,

Mkuu,
Pole kwa kuugua.
Ila mbona hamna majibu ya doctor hapa bali umetaja tu mtiririko wa wewe na doctor kwenye maelezo yako?

Au ndiyo umeisha changanyikiwa kuwa wanyama wako mbugani Serengeti wanakula nyasi changa?

Any way, kama una hofu kesho enda hospital kubwa fanya vipimo vyote kwa upya na usahihi.
 
Asante kwa kunirekebisha nahc nine appload tayr
 
Picha yenyewe hata haionekani vizuri.
Ila kama walikuandikia MRDT(Maralia rapid diagnostic test)hii haionyeshi idadi ya parasites ulionao lakina kama wangekuandikia BS hii ndio ingeonyesha idadi ya hao parasites.
Wewe uliandikiwa kipi kati ya BS na MRDT?
 
Joseverest ,
Mmmmmh, unamtisha mwenzio mwambie tafsiri / msomee majibu.

Pole pekee yake inamsababishia aogope zaidi.
Aah asiogope kwa kuwa maradhi tumeumbiwa binadamu mimi, wewe na yule cha msingi asiogope na afuate ushauri wa Daktari
 
Back
Top Bottom