Asante kwa kunirekebisha nahc nine appload tayrPAMAGE,
Mkuu,
Pole kwa kuugua.
Ila mbona hamna majibu ya doctor hapa bali umetaja tu mtiririko wa wewe na doctor kwenye maelezo yako?
Au ndiyo umeisha changanyikiwa kuwa wanyama wako mbugani Serengeti wanakula nyasi changa?
Any way, kama una hofu kesho enda hospital kubwa fanya vipimo vyote kwa upya na usahihi.
Daaah pole ndugu
Aah asiogope kwa kuwa maradhi tumeumbiwa binadamu mimi, wewe na yule cha msingi asiogope na afuate ushauri wa DaktariJoseverest ,
Mmmmmh, unamtisha mwenzio mwambie tafsiri / msomee majibu.
Pole pekee yake inamsababishia aogope zaidi.