Msaada: Kujua siku yangu ya kuzaliwa

Msaada: Kujua siku yangu ya kuzaliwa

Joined
Jan 25, 2015
Posts
36
Reaction score
13
Wakuu heshima yenu,naomba msaada wenu katka jambo hili tafadhalini. Jambo lenyewe ni hili "ikiwa nafahamu mwaka na mwezi niliozaliwa. Je kuna njia yeyote ya kujua siku niliozaliwa.

Hope watundu wa hesabu watakuwa na msaada kwangu.
 
Mmmh! Hapo urudi tu kwa wazee wa kijiji uwaulize may be wakati (siku) unazaliwa kulikua na tukio jengine (may be special) litakalo wezesha kutrace siku husika.

Kwa upande wa science sina uhakika if wataweza kukuambia siku husika coz kuna wanascience wa kihistoria wenye mashine ya kupima miaka ya mifupa ya zamani sana but niliskia ni "miaka" im not sure about miezi or siku.

Jaribu kugugo mkuu.
 
Tumia kalenda ta simu tu, nyingi zinarudi hadi miaka ya 1950s
 
umezaliwa mwaka wa samaki,mwezi ng'ombe,tarehe, punda hivyo wewe ni jamii ya mnyama kama binadamu wengine
 
Wakuu heshima yenu,naomba msaada wenu katka jambo hili tafadhalini. Jambo lenyewe ni hili "ikiwa nafahamu mwaka na mwezi niliozaliwa. Je kuna njia yeyote ya kujua siku niliozaliwa.

Hope watundu wa hesabu watakuwa na msaada kwangu.

Sijui wewe ni dini gani. Lakini kama ni mkristu na ulibatizwa kanisani basi watakuwa na kumbukumbu zako - nenda ukawaulize.

Kitu kingine unachoweza kufanya ni kusoma bandiko la Dr. MziziMkavu lililobainisha nasaba (hasa kazi zinazokufaa - na pengine ndizo unazofanya kwa sasa) za mtu na tarehe yake ya kuzaliwa. Hii inaweza kukusaidia ku-zero in tarehe yako ya kuzaliwa.

Kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
Angalia tarehe ya uliozaliwa na mwezi + or - one day ndo siku yako ya kuzaliwa.
 
Angalia kwenye msalaba wako wa kaburi. Kama sikosei huwa kunaandikwa siku ya kuzaliwa na ya kufa
 
Mkuu watu wengine wanaleta utani sijui kwa nini? Ni hivi nipatie mwaka na mwezi ntakwambia siku uliyo zaliwa. Formula yenyewe itatoa jibu sahii by100% ina cover span ya miaka 250 kuanzia 1800 to 2050 ikiwa na common years 1800 to 2050 na leap years 1804 to 2048,hii ni scientific approach si umangimeza.
 
Back
Top Bottom