Jamani nami naomba msaada kuna mdogo wangu amepewa loan kiasi alichopatiwa ni 3,177,500 na
ADA ni 1,240,000
EXAMINATION 100,000.00
STUDENT UNION 3,000
IDENTITY CARD 10,000
Sasa sijajua hapo ni asilimia ngapi ya mkopo na labda mzazi wake anahitajika kuchangia kiasi gani??